Jinsi ya kuunlock E303s-1 Safaricom Kenya itumie mitandao yote

Hii ni modem ambayo imefungwa na mtandao wa Safaricom Kenya ikikukutaka utumie SIM Card ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukijaribu kuweka laini ya mtandao mwingine inakuomba SIMLOCK Code.

Kwa kutumia njia hii utaweza kuunlock modem yako ya Huawei E303s-1 Safaricom na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote

SPECIFICATION:
- DEVICE NAME: E303
- HARDWARE VERSION: CH2E303SM
- FIRMWARE VERSION: 21.158.73.00.94
- SOFTWARE VERSION: 23.009.11.01.94

Muhimu
- Hakikisha hakuna kifaa kingine kimechomekwa kwenye computer isipokuwa modem.
- Hakikisha computer yako ina charge 50% na kuendelea
- Usitumie Unlocked firmware tofauti na hizi uta-brick modem yako. Itakufa jumla
- Usizime computer yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Usichomoe modem yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Soma kwanza maelezo kabla ya kuunlock modem yako
- Hatua moja ni muhimu sana, ukiruka hatua moja basi hatua nyingine haitafanya kazi

Hii ni modem ya Hilink kwahiyo Com Port zake hazionekani kwahiyo ili kuwezesha Fuata njia hii. Jinsi ya kuwezesha Com Port za Huawei E303 Hilink Safaricom Kenya

Namna ya kuunlock Huawei E303s-1 Safaricom itumie mitandao yote
1. Chomeka modem yako kwenye computer ikiwa na SIM Card ya mtandao mwingine. Ikifunguka dashboard, funga.
2. Run Huawei Universal Code Calculator. Bonyeza kwenye Huawei kisha weka IMEI za modem zako, zipo 15 digits. Bonyeza calculate kupata Flash code

3. Run Huawei E303 Hilink Safaricom Unlocked Firmware, bonyeza Start, ikiomba password. Weka Flash Code kisha bonyeza Ok. Subiri mpaka imalizike. Ikimaliza,  bonyeza Finish

4. Run Huawei Modem Code Writer. Bonyeza kwenye Please Select Com Port

5. Bonyeza kwenye Detect kisha chagua COM Port ya modem yako

6. Bonyeza Accept

7. Bonyeza Unlock Modem
 
8. Weka Unlock Code ambazo ni 8 digits kisha bonyeza OK

Hongera! Umeweza kuunlock E303 Hilink Safaricom Kenya na utaweza kutumia SIM Card ya mitandao yote

Tags: Jinsi ya kuunlock E303 Safaricom itumie mtandao wowote, namna ya kuunlock Huawei E303 Hilink Safaricom Kenya, namna ya kuunlock E303 Hilink Safaricom, namna ya kufungua E303 Safaricom Kenya itumie mtandao wowote, jinsi ya kufungua Huawei E303 Hilink Safaricom Kenya itumie mitandao yote, jinsi ya kuunlock modem ya E303 Safaricom Kenya, namna kufungua modem ya Safaricom E303, namna ya kuunlock modem ya Huawei E303 Hilink Safaricom Kenya, how to unlock Huawei E303 Safaricom Kenya, how to unlock E303 Safaricom Kenya, how to unlock E303 Hilink Safaricom Kenya, how to unlock Huawei E303 Hilink Safaricom Kenya, download Huawei E303 Safaricom Kenya firmware, download E303 Hilink Safaricom firmware

No comments