Namna ya kutengeneza Blog (wavuti) bure - Kitabu
Blog ni sehemu ya website ambayo humuwezesha mwandishi kuweka makala zake mbalimbali ili wasomaji wapate kusoma. Blog kwa kutumia uwanja wa blogger hutolewa bure na Google ambapo utaweza kuweka makala zako na watu kusoma makala zako mtandaoni.
Ili blog yako iweze kukamilika utahitaji kuwa na ujuzi ambao utakusaidia kuifanya blog yako iwe katika muonekano mzuri na pia kupata watembeleaji wengi.
Kupitia blog, unaweza kutengeneza pesa kupitia Ad networks kama vile Google Adsense, Propeller n.k pia unaweza kutoa huduma kwa watu kama kuwaandikia makala n.k na ukajipatia pesa
Kuna baadhi ya blog ukitembelea hazijapangiliwa kama inavyotakiwa kwahiyo timu ya Fahusvera imekuandaliwa kitabu ambacho kitakusaidia kutengeneza blog kwa ukamilifu na yenye kuvutia.
Pia nimekuwekea Blog Premium template bure ambayo itakusaidia kuifanya blog yako iwe katika muonekano unaovutia.
Baada ya kupakua kitabu na kusoma utaweza kutengeneza blog (wavuti) bure popote ulipo na ukaweka makala yako
Muhimu
Kitabu hiki kimeandikwa na timu ya Fahusvera, hairuhusiwi mtu yoyote kuchapicha tena (Editing), kuweka kwenye website au blog zingine bila idhini ya mwandishi. Hatua kali za kisheria zitachukuliwa. Wasiliana na timu ya Fahusvera +255767434014 kwa maelezo zaidi. Haki zote zimehifadhiwa
Tags: Jinsi ya kutengeneza blog, namna ya kutengeneza wavuti, namna ya kutengeneza website, tengeneza blog kwa kutumia blogger, tengeneza wavuti kwa kutumia blogger, tengeneza website kwa kutumia blogger, blogspot, tengeneza blog kwa blogspot, blogger, tengeneza blog kwa blogger, tengeneza wavuti kwa blogger, tengeneza website kwa blogger
Post a Comment