Jifunze Ufundi Simu Software ~ Kitabu

Kutokana na watu wengi kutaka kujifunza ufundi simu software, nimeandika kitabu ambacho kitakusaidia kujifunza ufundi simu wa software mwenyewe ukiwa na kitabu hiki pamoja na computer yako

Unaweza kujifunza ufundi simu software wewe mwenyewe. Hapo ulipo na computer yako utaweza kujifunza ufundi simu upande wa software. Nimejifunza ufundi simu wa software nikiwa na computer, simu na bando la internet (inawezakana kwa 100%). 

Kwa kutumia kitabu hiki utaweza kujifunza ufundi simu upande wa software
kwa smartphone, simu za batani (feature phone) na tablet. Upatapo kitabu hiki hautahitaji tena kuuliza swali hili kwa watu

Kitabu hiki kina:-
- Video za kutosha

- Makala zenye maandishi yenye maelezo toshelezi na picha zenye mfumo wa PDF kwa smartphone na simu za batani (feature phone)

- Tool na driver za kurepair simu kwa kila njia. Haina haja ya kutafuta tool mtandaoni au kwa watu

Upatapo kitabu hiki, unatakiwa usome maelezo ya utangulizi kwa kabla ya kujifunza njia zingine. Ingia Utangulizi

Soma Read me, ingia umuhimu na Box na Dongle

 Soma maelezo yote

Kwenye Box na Dongle, soma maelezo yote

Soma umuhimu

Bonyeza Case Study


Soma Read me

Kwa kutumia kitabu hiki, utaweza
- Kuflash simu na tablet aina zote kama Nokia, Samsung, iPhone, Itel, Tecno, Infinix, Nexus, HTC, Google Pixel, LG, Xiaomi, Blackberry n.k

- Utaweza kurepair IMEI
- Remove Network Lock
- Kubackup Firmware
- Kutoa Password, PIN, Pattern, Face Lock na Finger Print
- Kubypass Google Account Verification (FRP)

- Kujua boot key, boot select, fastboot mode, EDL Mode, Diag Mode, Test Point n.k
- Kuunlock Bootloader ya simu yako

- Rooting
- Kuupdate simu yako kutoka android version moja kwenda nyingine
- Remove MI Account na mambo mengi yanayohusiana na ufundi simu software

Baada ya kusoma na kuelewa utaweza kurepair simu yoyote ya smartphone, tablet na simu ya batani

Kwenye hiki kitabu nimeandika mambo mengi yanayohusu ufundi simu software na ni rahisi kujifunza mwenyewe. Tools na drivers zote zipo wala hakuna haja ya kutafuta mtandaoni. Haya ni machache ila upatapo kitabu hiki, utajifunza mengi kuhusu ufundi simu software. Kila kitu kimeelezwa kwenye kitabu

Kitabu hiki kimeandikwa na timu ya Fahusvera, hairuhusiwi mtu yoyote kuchapicha tena (editing), kuweka kwenye website au blog zingine bila idhini ya mwandishi. Hatua kali za kisheria zitachukuliwa. Wasiliana na timu ya Fahusvera +255767434014 kwa maelezo zaidi. Haki zote zimehifadhiwa

Password itatolewa kwa Any desk au Team Viewer



Tags: Jifunze ufundi simu wa software, njia rahisi ya kujifunza ufundi simu software, kitabu cha ufundi simu software, fuata njia hizi kujifunza ufundi simu software, flash simu yoyote ya smartphone, flash simu yoyote ya android, namna ya kuflash simu za iPhone, namna ya kutoa password kwenye simu za batani, boot key kwa simu za batani, flash simu ya Tecno, toa pattern kwenye simu za Itel, Toa password kwa simu za Samsung, jinsi ya kuunlock simu inayotumia mtandao mmoja

No comments