Jinsi ya kuunlock M022T 4G LTE Tigo Tanzania

Hii ni router ya Tigo Home Internet 4G ambayo inakutaka utumie laini ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuandikia Device Locked
 
Kwa kutumia njia hii utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka
 
Mahitaji
M022T Tigo Flash File
M022T Driver
M022T Tigo Unlocked Firmware
 
Namna ya kuunlock M022T Tigo Tanzania itumie mitandao yote
1. Install M022T Tigo Tanzania Driver kwenye computer yako
2. Weka laini ya mtandao mwingine
3. Chomeka router yako kwa USB Cable
4. Run M022T Tigo Unlocked Firmware. Bonyeza Start >>>> Next >>>>> Finish
5. Toa USB Cable kisha weka laini unayotaka. Washa

Hongera! Umeweza kuunlock router ya Tigo LTE 4G Home Internet M022T na utaweza kutumia laini ya mtandao wowote.
Tags:Jinsi ya kuunlock M022T Tigo Tanzania, Namna ya kuunlock Tigo 4G M022T, Jinsi ya kufungua M022T Tigo, Namna ya kufungua Tigo 4G LTE M022T, How to unlock M022T Tigo Tanzania, How to unlock 4G LTE M022T Tigo Tanzania, how to unlock Tigo Home Internet M022T, download M022T Tigo Tanzania Firmware

No comments