About US

Habari! Karibu katika blog yangu ambayo itakusaidia kufungua Simu, Modem na Router ili viweze kutumia mitandao yote.

Fahusvera ilianzishwa 2021 kwa minajiri ya kuwasaidia watu wote wenye uhitaji wa kutatua changamoto katika vifaa vyao vinavyotumia mtandao mmoja na matatizo mengine yanayohusiana na Phone,Modem, Router & Computer.

Gregory Gulayi ni mtaalamu wa masuala ya I.T ambaye atakusaidia kutatua matatizo katika vifaa vinavyotumia mtandao mmoja na pia katika Data Recovery.

Kwa changamoto yoyote kuhusu Simu, Computer, Modem na Router, usisite kuwasiliana nasi.

Call/Sms +255767434014

WhatsApp   +255767434014

Telegram +255767434014 (Fahusvera)

Facebook:  Unlock Phone, Modem & Router by IMEI Number

Secured Checkout
Trusted Badges
 
Copyright © 2024. All Right Reserved