Jinsi ya kuunlock Huawei E303 Vodacom Tanzania itumie mitandao yote
Hii ni modem iliyofungwa ili iweze kutumia SIM Card ya mtandao mmoja tu wa Vodacom. Ukiwa na Modem hii utalazimika kutumia SIM Card ya mtandao mmoja tu.
Kwa kutumia njia hii utaweza kuunlock Huawei E303 Hilink Vodacom Tanzania na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka
Muhimu
- Hakikisha hakuna kifaa kingine kimechomekwa kwenye computer isipokuwa modem.
- Hakikisha computer yako ina charge 50% na kuendelea
- Usitumie Unlocked firmware tofauti na hizi uta-brick modem yako. Itakufa jumla
- Usizime computer yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Usichomoe modem yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Soma kwanza maelezo kabla ya kuunlock modem yako
- Hatua moja ni muhimu sana, ukiruka hatua moja basi hatua nyingine haitafanya kazi
Jinsi ya kuunlock Huawei E303 Hilink Vodacom Tanzania itumie mitandao yote
1. Install Huawei Mobile Partner kwenye Computer yako ili kupata drivers za modem yako
2. Chomeka modem yako, kisha funga dashboard ya modem yako kama itafunguka
3. Run SBC Code Calaculator, bonyeza Huawei tab, weka IMEI number kisha bonyeza Calculate. Kupata IMEI Number Fungua mfuniko wa modem yako utaziona. Zipo tarakimu 15. Nukuu Flash Code
4. Run Huawei E303 Hilink Unlocked Firmware. Itaomba password, weka flash code kisha bonyeza OK. Subiri mpaka imalize yenyewe, chomoa na chomeka tena Modem yako
Mpaka hapo utakuwa umeweza kuunlock modem ya Vodacom Huawei E303 Hilink na utaweza kutumia laini ya mtandao wowote ule unaotaka
Post a Comment