Namna ya kuunlock E173 (E173u-1, E173u-2 & E173u-3)
Hii ni modem ambayo imefungwa ili itumie laini moja ya mtandao mmoja wa simu tu kwahiyo huwezi kutumia SIM Card nyingine tofauti na za wenye modem.
Kulingana na mahitaji, utahitaji utumie SIM Card za mitandao mingine kwahiyo kwa kutumia njia hii utaweza kuunlock modem ya Huawei E173 itumie mitandao yote
Muhimu
- Hakikisha hakuna kifaa kingine kimechomekwa kwenye computer isipokuwa modem.
- Hakikisha computer yako ina charge 50% na kuendelea
- Usitumie Unlocked firmware tofauti na hizi uta-brick modem yako. Itakufa jumla
- Usizime computer yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Usichomoe modem yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Soma kwanza maelezo kabla ya kuunlock modem yako
- Hatua moja ni muhimu sana, ukiruka hatua moja basi hatua nyingine haitafanya kazi
- Namna ya kuunlock Huawei E173 itumie mitandao yote
- Namna ya kuunlock Huawei E173 Safaricom itumie mitandao yote
- Namna ya kuunlock Huawei E173u-1 Airtel Tanzania
- Namna ya kuunlock Huawei E173u-1 itumie mitandao yote
- Namna ya kuunlock Huawei E173u-2 itumie mitandao yote
- Namna ya kuunlock Huawei E173u-3 itumie mitandao yote
Post a Comment