Jinsi ya kuunlock M022T VIDA M2 LTE Airtel Tanzania

Hii ni router ya M022T VIDA Airtel Pockect WIFI ambayo inakutaka utumie SIM Card ya mtandao mmoja tu. 

Kwa kutumia njia hii utaweza kutumia laini ya mtandao wowote ule unaoutaka
 
Mahitaji
M022T Airtel Flash File
M022T Airtel Driver
M022T Airtel Unlocked Firmware
 
Namna ya kuunlock M022T VIDA M2 Airtel Tanzania itumie mitandao yote
1. Install M022T Airtel Driver kwenye computer yako
2. Weka SIM Card ya mtandao mwingine
3. Chomeka router yako kwenye computer kwa USB Cable
4. Run M022T Airtel Unlocked Firmware. Bonyeza Start kisha bonyeza Next. Iache mpaka imalize yenyewe, ikimaliza bonyeza Finish
5. Chomoa USB Cable kisha weka SIM Card unayotaka. Washa
Hongera! Umefanikiwa kuunlock M022T 4G Pocket WIFI Airtel Tanzania na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote.

Tags: How to unlock M022T VIDA Airtel Tanzania, how to unlock M022T Airtel Tanzania, how to unlock M022T VIDA Airtel Tanzania, how to unlock M022T VIDA LTE Airtel Tanzania, how to unlock M022T Pocket WiFi Airtel, Download M022T Vida firmware, download M022T Airtel Tanzania, jinsi ya kuunlock M022T Airtel Tanzania, jinsi ya kuunlock M022T Vida Airtel Tanzania, jinsi ya kufungua M022T Vida Airtel Tanzania, Jinsi ya kufungua M022T 4G Airtel Tanzania, M022T 4G LTE, MO22T VIDA 4G Pocket WiFi

No comments