Jinsi ya kuunlock E5576-606 Zamtel itumie mitandao yote

Hii ni router inayotumia SIM Card ya mtandao mmoja tu wa Zamtel kwahiyo ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code

Kwa kutumia njia hii, utaweza kuunlock Huawei E5576-606 Zamtel na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka

Muhimu
- Hakikisha hakuna kifaa kingine kimechomekwa kwenye computer isipokuwa router yako tu.
- Hakikisha computer yako ina charge 50% na kuendelea
- Usitumie Unlocked firmware tofauti na hizi uta-brick modem yako. Itakufa jumla
- Usizime computer yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Usichomoe router yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Soma kwanza maelezo kabla ya kuunlock router yako
- Hatua moja ni muhimu sana, ukiruka hatua moja basi hatua nyingine haitafanya kazi

Namna ya kuunlock Huawei E5576-606 Zamtel itumie mitandao yote
1. Chomeka router yako kwenye computer kwa USB Cable ikiwa haina SIM Card
2. Install Huawei Driver kwenye computer yako
3. Run Universal Master Code, Bonyeza kwenye Huawei Tab, weka IMEI za modem yako kisha bonyeza kwenye Calculate kupata Flash Code

4. Run E5576-606 Zamtel Unlocked Firmware. Bonyeza start, ikiomba Password, weka za flash code kisha bonyeza OK (Isipoomba password, usiweke). Bonyeza Next kisha iache mpaka imalize. Ikimalizika bonyeza Finish. Ikimaliza, chomoa router yako, weka SIM Card ya mtandao mwingine

Hongera! Umefanikiwa kuunlock Huawei E5576-606 Zamtel na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaotaka

 
Tags: Jinsi ya kuunlock E5576-606 Zamtel, jinsi ya kuunlock Huawei E5576-606 Zamtel, jinsi ya kufungua E5576-606 Zamtel, jinsi ya kufungua Huawei E5576-606 Zamtel, download firmware for E5576-606 Zamtel, download firmware for Huawei E5576-606 Zamtel, download E5576-606 Zamtel, download Huawei E5576-606 Zamtel firmware

No comments