Jinsi ya kuunlock E5573s-320 Tigo Tanzania itumie mitandao yote
Hii ni router ambayo imefungwa na kampuni ya Tigo Tanzania ili iweze kutumia laini ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba SIMLOCK Code.
Kwa kutumia njia hii, utaweza kuunlock router yako ya Huawei E5573s-320 Tigo Tanzania na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote.
Muhimu
- Hakikisha hakuna kifaa kingine kimechomekwa kwenye computer isipokuwa router yako.
- Hakikisha computer yako ina charge 50% na kuendelea
- Usitumie Unlocked firmware tofauti na hii uta-brick router yako. Itakufa jumla
- Usizime computer yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Usichomoe router yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Soma kwanza maelezo kabla ya kuunlock router yako
- Hatua moja ni muhimu sana, ukiruka hatua moja basi hatua nyingine haitafanya kazi
Namna ya kuunlock Huawei E5573s-320 Tigo Tanzania itumie mtandao wowote
1. Install Huawei Driver
2. Run Huawei E5573s-320 Tigo unlocked Firmware
3. Soma maelezo ya PDF kwenye File
Post a Comment