Jinsi ya kuunlock E5573s-320 Safaricom Kenya itumie mitandao yote

Hii ni router ambayo imefungwa ili utumie SIM Card moja tu wa Safaricom Kenya na ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code

Kwa kutumia njia hii, utaweza kuunlock Huawei E5573s-320 Safaricom Kenya na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka.

Muhimu
- Hakikisha hakuna kifaa kingine kimechomekwa kwenye computer isipokuwa router yako.
- Hakikisha computer yako ina charge 50% na kuendelea
- Usitumie Unlocked firmware tofauti na hii uta-brick router yako. Itakufa jumla
- Usizime computer yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Usichomoe router yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Soma kwanza maelezo kabla ya kuunlock router yako
- Hatua moja ni muhimu sana, ukiruka hatua moja basi hatua nyingine haitafanya kazi

Namna ya kuunlock Huawei E5573s-320 Safaricom Kenya itumie mtandao wowote
1. Install Huawei Driver
2. Run Huawei E5573s-320 Safaricom unlocked Firmware
3. Soma maelezo ya PDF kwenye File

Hongera! Mpaka hapa utakuwa umefanikiwa kuunlock E5573s-320 Safaricom Kenya na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote

Tags: Jinsi ya kuunlock E5573s-320 Safaricom Kenya itumie mtandao wowote, jinsi ya kuunlock Huawei E5573s-320 Safaricom Kenya itumie mitandao yote, namna ya kuunlock Huawei E5573s-320 itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua E5573s-320 Safaricom Kenya itumie mitandao yote, namna ya kufungua Huawei E5573s-320 Safaricom Kenya itumie mtandao wowote, how to unlock E5573s-320 Safaricom Kenya, how to unlock Huawei E5573s-320 Safaricom Kenya, E5573s-320 Safaricom Kenya firmware, namna ya kuunlock router ya Safaricom Kenya E5573s-320

No comments