Jinsi ya kuunlock Neon Ray Safaricom Twaweza Kenya itumie mitandao yote
Hii ni simu inayokutaka utumie SIM Card ya mtandao mmoja tu na ukiweka laini ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code
Kwa kushirikiana na timu ya Fahusvera utaweza kuunlock simu yako ya Neon Ray Safaricom Twaweza Kenya itumie mitandao yote
Waiting Time: 1min - 5mins
Namna ya kuunlock Neon Ray Safaricom Kenya itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kisha washa simu yako
3. Weka NCK Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
4. Bonyeza Unlock
Hongera! Umefanikiwa kuunlock simu yako ya Neon Ray Safaricom Twaweza Kenya na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka

2. Itakuomba uweke NCK Code

Post a Comment