Jinsi ya kuunlock Itel Phone zitumie mitandao yote
Hizi ni simu zinazokutaka utumie SIM Card ya mtandao mmoja tu na ukiweka laini ya mtandao mwingine zinakuomba NCK Code
Kwa kushirikiana na timu ya Fahusvera utaweza kuunlock simu za Itel zote zitumie mitandao yote
Waiting Time: 1min - 5mins
Namna ya kuunlock simu za Itel Phone All Model zitumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kisha washa simu yako
2. Itakuomba uweke NCK Code
3. Weka NCK Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
4. Bonyeza OK
Hongera! Umefanikiwa kuunlock simu yako ya Itel na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka

Post a Comment