Jinsi ya kuunlock ZTE MF937 itumie mitandao yote

Hii ni router inayotumia mtandao mmoja ambapo ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code. 

Kwa kutumia njia hii, utaweza kuunlock ZTE MF937 na utaweza kutumia SIM Card wa mtandao wowote

Muhimu
- Hakikisha hakuna kifaa kingine kimechomekwa kwenye computer isipokuwa router yako tu.
- Hakikisha computer yako ina charge 50% na kuendelea
- Usitumie Unlocked firmware tofauti na hizi uta-brick modem yako. Itakufa jumla
- Usizime computer yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Usichomoe router yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Soma kwanza maelezo kabla ya kuunlock router yako
- Hatua moja ni muhimu sana, ukiruka hatua moja basi hatua nyingine haitafanya kazi

Namna ya kuunlock ZTE MF937 itumie mitandao yote
1. Chomeka router yako kwenye computer kwa USB Cable ikiwa haina SIM Card yoyote
2. Install ZTE MF937 Driver kwenye computer yako
3. Soma maelezo ya PDF kwenye File

Hongera! Umefanikiwa kuunlock ZTE MF937 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaotaka

 
Tags: Jinsi ya kuunlock ZTE MF937, jinsi ya kuunlock Telenor ZTE MF937, jinsi ya kufungua ZTE MF937, jinsi ya kufungua Telenor ZTE MF937, download firmware for ZTE MF937, download firmware for Telenor ZTE MF937, download ZTE MF937, download MF937 firmware

No comments