Jinsi ya kuunlock E3272s-153 Surfline itumie mitandao yote

Hii ni modem ya Huawei E3272s-153 ya mtandao wa Surfline ambao umefungwa ili uweze kutumia SIM Card ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine itakuandikia SIMLOCK Code.

Kwa kutumia njia hii, utaweza kuunlock modem yako ya Huawei E3272s-153 Surfline na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka.

Waiting Time: 1min - 5minutes

Namna ya kuunlock Huawei E3272s-153 Surfline itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine
2. Chomeka modem yako kwenye computer
3. Itafunguka browser yenye address 192.168.1.1/simlock.asp kama itashindwa kufunguka, ingia
kwenye browser yako kisha andika adress hii http://192.168.1.1/html/simlockrequired.htm
- Jaza User Name na Password ambayo ni admin kwa zote kisha bonyeza kitufe cha Log In

4. Weka NCK code nilizokutumia kisha bonyeza kitufe cha Apply.

Tengeneza new profile
Profle name: Internet
User name: admin
Password: admin
APN: Static
     Internet

AU
Profle name: Internet
User name:
Password:
APN: Static
     Internet

*Kama Static itakataa, basi weka Dynamic

Hongera! Umefanikiwa kuunlock Huawei E3272s-153 Surfline na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote.

 

No comments