Jinsi ya kuunlock Tecno TR118 itumie mitandao yote

Hii ni router ya Tecno ambayo inatumia SIM Card ya mtandao mmoja tu na ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code

Kwa kushirikiana na timu ya Fahusvera, utaweza kuunlock router yako ya Tecno TR118

Namna ya kuunlock Tecno TR118 itumie mtandao wowote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine
2. Washa router yako
3. Unganisha router na computer yako kwa WiFi
4. Weka WiFi password
5. Itafunguka browser yenye address http://192.168.1.1.
6. Weka Username na Password
7. Itafunguka page inayokuomba uweke NCK Code
8. Weka NCK Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera 

Mpaka hapo utakuwa umefanikiwa kuunlock Tecno TR118 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote

No comments