Jinsi ya kuunlock M022 LED L02I_1_10 Permanet Solution

Hii ni router ambayo imefungwa ili utumie SIM Card moja na ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuandikia Device Locked

Kwa kutumia njia hii, utaweza kuunlock M022 LED L02I_1_10 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka.

Muhimu
- Hakikisha hakuna kifaa kingine kimechomekwa kwenye computer isipokuwa router yako.
- Hakikisha computer yako ina charge 50% na kuendelea
- Usitumie Unlocked firmware tofauti na hii uta-brick router yako. Itakufa jumla
- Usizime computer yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Usichomoe router yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Soma kwanza maelezo kabla ya kuunlock router yako
- Hatua moja ni muhimu sana, ukiruka hatua moja basi hatua nyingine haitafanya kazi

Namna ya kuunlock M022 LED L02I_1_10 itumie mtandao wowote
A. Install M022 Driver
B. Run M022 unlocked Firmware
C. Soma maelezo ya PDF kwenye File

Hongera! Mpaka hapa utakuwa umefanikiwa kuunlock M022 LED L02I_1_10 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote

Tags: Jinsi ya kuunlock M022 LED L02I_1_10, Jinsi ya kuunlock Mifi M022 LED L02I_1_10, namna ya kufungua M022 LED L02I_1_10 itumie mitandao yote, namna ya kufungua MIFI M022 LED L02I_1_10, Namna ya kufungua M022 LED L02I_1_10, how to unlock M022 LED L02I_1_10, how to unlock 4G M022 LED L02I_1_10, how to unlock MIFI M022 LED L02I_1_10, Download M022 LED L02I_1_10 firmware, Download M022 Firmware, Download firmware for M022 LED L02I_1_10

No comments