Jinsi ya kuunlock E3531s-1 MTS 423S itumie mitandao yote
Hii ni modem ya E3531s-1 MTS 423S inayotumia SIM Card ya mtandao mmoja tu na ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code
Kwa njia hii, utaweza kuunlock Huawei E3531s-1 MTS 423S na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka
Muhimu
- Hakikisha hakuna kifaa kingine kimechomekwa kwenye computer isipokuwa modem.
- Hakikisha computer yako ina charge 50% na kuendelea
- Soma kwanza maelezo kabla ya kuunlock modem yako
- Hatua moja ni muhimu sana, ukiruka hatua moja basi hatua nyingine haitafanya kazi
Waiting Time: 1min - 5minutes
Namna ya kuunlock Huawei E3531s-1 MTS 423S itumie mitandao yote
1. Chomeka modem yako kwenye computer ikiwa na SIM Card ya mtandao mwingine. Ikifunguka dashboard ya modem yako ifunge
2. Run DC Unlocker 2 Client as administrator
3. Bonyeza kwenye magnifying Glass
4. Italeta taarifa za modem yako
5. Mwisho wa taarifa za modem yako weka hizo code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
Hongera! Mpaka hapo utakuwa umefanikiwa kuunlock Huawei E3531s-1 MTS 423S na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote

Tags: Jinsi ya kuunlock E3531s-1 MTS 423S itumie mtandao wowote, jinsi ya kuunlock Huawei E3531s-1 MTS 423S itumie yote, how to unlock E3531s-1 MTS 423S, how to unlock Huawei E3531s-1 MTS 423S, how to unlock E3531s-1 MTS 423S, how to unlock Huawei E3531s-1 MTS 423S, Download firmware for E3531s-1 MTS 423S, E3531s-1 MTS 423S Firmware
Post a Comment