Jinsi ya kuunlock ZLT P21 itumie mitandao yote

Hii ni router inayotumia mtandao mmoja tu ambapo ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code. 

Kwa kutumia njia hii, utaweza kuunlock ZLT P21 na utaweza kutumia SIM Card wa mtandao wowote

Muhimu
- Hakikisha hakuna kifaa kingine kimechomekwa kwenye computer isipokuwa router yako tu.
- Hakikisha computer yako ina charge 50% na kuendelea
- Usitumie Unlocked firmware tofauti na hizi uta-brick modem yako. Itakufa jumla
- Usizime computer yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Usichomoe router yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Soma kwanza maelezo kabla ya kuunlock router yako
- Hatua moja ni muhimu sana, ukiruka hatua moja basi hatua nyingine haitafanya kazi

Namna ya kuunlock ZLT P21 itumie mitandao yote
1. Chomeka router yako kwenye computer kwa USB Cable ikiwa haina SIM Card yoyote
2. Install ZLT P21 Driver kwenye computer yako
3. Soma maelezo ya PDF kwenye File

Hongera! Umefanikiwa kuunlock ZLT P21 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaotaka.

Tags: Jinsi ya kuunlock ZLT P21, jinsi ya kuunlock Mifi ZLT P21, jinsi ya kufungua ZLT P21, jinsi ya kufungua MIFI ZLT P21, download firmware for ZLT P21, download firmware for MIFI ZLT P21, download MIFI ZLT P21 Firmware, download ZLT P21 firmware, how to unlock ZLT P21, how to unlock MIFI ZLT P21

No comments