Namna ya kuunlock E8231s-1 Airtel Wingle Tanzania itumie mitandao yote

Hii ni modem ya Huawei Airtel Wingle ilifungwa ili mtumiaji aweze kutumia laini ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukitumia laini tofauti inayohitajika, haiwezi kusoma. 

Kwa kutumia njia hii utaweza kufungua modem ya Huawei E8231s-1 Airtel Wingle na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaotaka

Muhimu
- Hakikisha hakuna kifaa kingine kimechomekwa kwenye computer isipokuwa modem.
- Hakikisha computer yako ina charge 50% na kuendelea
- Usitumie Unlocked firmware tofauti na hizi uta-brick modem yako. Itakufa jumla
- Usizime computer yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Usichomoe modem yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Soma kwanza maelezo kabla ya kuunlock modem yako
- Hatua moja ni muhimu sana, ukiruka hatua moja basi hatua nyingine haitafanya kazi

Jinsi ya kuunlock Huawei E8231s-1 Airtel Wingle itumie mitandao yote
1. Fungua modem yako kisha copy IMEI number ambazo zipo tarakimu 15
2. Chomeka modem yako ikiwa na SIM Card tofauti. Kisha install drivers, ikishamaliza. Funga Dashboard ya modem yako
3. Fungua Huawei Calculator, kisha weka IMEI Number za modem yako ambazo ni tarakimu 15 kisha bonyeza calculate.

4. Run E8231s-1 Airtel Wingle Unlocked Firmware. Bonyeza Start


5. Itaanza kutafuta port ya modem yako 

6. Itaomba Password, weka Flash Code kisha bonyeza OK. Subiri mpaka imalize kuupdate kisha bonyeza Finish


Hongera! Mpaka hapa utakuwa umeweza kuunlock E8231s-1 Airtel Wingle na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule.
Tags: jinsi ya kuunlock E8231s-1 Airtel itumie mtandao wowote, namna ya kufungua E8231s-1 Airtel Wingle, jinsi ya kuunlock Huawei E8231s-1 Airtel Tanzania, namna ya kufungua Huawei E8231s-1 Airtel Tanzania itumie mitandao yote, namna ya kuunlock Huawei E8231s-1 Airtel Wingle Tanzania itumie mtandao wowote, how to unlock E8231s-1 Airtel Tanzania, how to unlock Huawei E8231s-1 Airtel Wingle Tanzania, download Huawei E8231s-1 Airtel wingle Tanzania firmware, jinsi ya kuunlock modem ya Airtel Wingle E8231s-1 itumie mitandao yote, namna ya kufungua modem ya Airtel Huawei E8231s-1 itumie mitandao yote, jinsi ya kuunlock E8231s-1 Airtel Wingle, how to unlock E8231s-1 Airtel Wingle

No comments