Jinsi ya kuunlock Megafon M21-4 itumie mitandao yote

Hii ni modem ya Megafone M21-4 inayotumia SIM Card ya mtandao mmoja tu na ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code

Kwa njia hii, utaweza kuunlock M21-4 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka

Muhimu
- Hakikisha hakuna kifaa kingine kimechomekwa kwenye computer isipokuwa modem.
- Hakikisha computer yako ina charge 50% na kuendelea
- Soma kwanza maelezo kabla ya kuunlock modem yako
- Hatua moja ni muhimu sana, ukiruka hatua moja basi hatua nyingine haitafanya kazi

Waiting Time: 1min - 5minutes

Namna ya kuunlock Huawei Megafon M21-4 itumie mitandao yote
1. Chomeka modem yako kwenye computer ikiwa na SIM Card ya mtandao mwingine. Ikifunguka dashboard ya modem yako ifunge
2. Run DC Unlocker 2 Client as administrator
3. Bonyeza kwenye magnifying Glass
4. Italeta taarifa za modem yako
5. Mwisho wa taarifa za modem yako weka hizo code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera

Hongera! Mpaka hapo utakuwa umefanikiwa kuunlock Megafon M21-4 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote

No comments