Jinsi ya kuunlock E5331s-2 Vodacom Tanzania itumie mitandao yote

Hii ni Huawei wifi router E5331s-2 ya mtandao wa Vodacom ambayo imefungwa ili iweze kutumia laini ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka laini ya mtandao mwingine haitaweza kusoma.

Team ya Fahusvera inakuletea ufumbuzi wa router yako ambapo utaweza kuunlock na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka

Waiting Time: 1min - 5minutes

Namna ya kuunlock Huawei E5331s-2 Vodacom Tanzania itumie mitandao yote
1. Weka laini ya mtandao mwingine kisha washa router yako
2. Itafungua browser yenye address 192.168.1.1/simlock.asp kama itashindwa kufungua, ingia
kwenye browser yako kisha andika adress hii http://192.168.1.1/html/simlockrequired.htm
- Jaza User Name na Password kisha bonyeza kitufe cha Log In

3. Weka NCK code nilizokutumia kisha bonyeza kitufe cha "Apply".

Hongera! Umefanikiwa kuunlock Huawei Wifi router E5331s-2 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote.

No comments