Jinsi ya kuunlock E173u-1 Airtel Tanzania itumie mitandao yote

Hii ni modem ya Huawei E173u-1 Airtel ambayo inatumia SIM Card wa Airtel Tanzania tu kwahiyo ukiweka SIM card ya mtandao mwingine inakuandikia Invalid SIM Card

Kwa kutumia njia hii utaweza kuunlock modem yako ya E173u-1 Airtel Tanzania na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka

Muhimu
- Hakikisha hakuna kifaa kingine kimechomekwa kwenye computer isipokuwa modem yako.
- Hakikisha computer yako ina charge 50% na kuendelea
- Usitumie Unlocked firmware tofauti na hii uta-brick modem yako. Itakufa jumla
- Usizime computer yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Usichomoe modem yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Soma kwanza maelezo kabla ya kuunlock modem yako
- Hatua moja ni muhimu sana, ukiruka hatua moja basi hatua nyingine haitafanya kazi

Namna ya kuunlock Huawei E173u-1 Airtel Tanzania
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kisha chomeka modem yako kwenye computer
2. Install dashboard ya modem yako ili kuinstall drivers za modem yako
3. Baada ya kuinstall, itafunguka dashboard ya modem yako. Ifunge
4. Soma maelezo yaliyopo kwenye PDF kwenye File

Hongera! Mpaka hapa utakuwa umefanikiwa kuunlock E173u-1 Airtel Tanzania na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka.

Utatakiwa kutengeneza APN (Internet Setting kwa hasa SIM Card ya Halotel)

Bonyeza Tools kwenye dashboard ya modem yako



 Bonyeza kwenye Options

Bonyeza kwennye Profile Management
 
Bonyeza New

Kwenye Profile Name: Andika jina lolote

APN: Static, andika Internet kisha bonyeza Save (1) na bonyeza Ok (2)

Mpaka hapa, utakuwa umeweza kutengeneza new profile

Enjoy!

Tags: Jinsi ya kuunlock E173u-1 Airtel Tanzania, Jinsi ya kuunlock Huawei E173u-1 Airtel Tanzania, namna ya kufungua E173u-1 Airtel Tanzania itumie mitandao yote, namna ya kufungua Huawei E173u-1 Airtel Tanzania, how to unlock E173u-1 Airtel Tanzania, how to unlock Huawei E173u-1 Airtel Tanzania, Download E173u-1 Airtel Tanzania, E173u-1 Airtel Tanzania firmware, Download E173u-1 Airtel Firmware, Download firmware for E173u-1 Airtel Tanzania, Download Huawei E173u-1 Firmware


No comments