Jinsi ya kuunlock Huawei E173u-3 itumie mitandao yote

Hii ni modem ya Huawei E173u-3 ambayo inakutaka utumie SIM Card ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka SIM card ya mtandao mwingine inakuandikia Invalid SIM Card

Kwa kutumia njia hii utaweza kuunlock modem yako ya E173u-3 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka

Muhimu
- Hakikisha hakuna kifaa kingine kimechomekwa kwenye computer isipokuwa modem yako.
- Hakikisha computer yako ina charge 50% na kuendelea
- Usitumie Unlocked firmware tofauti na hii uta-brick modem yako. Itakufa jumla
- Usizime computer yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Usichomoe modem yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Soma kwanza maelezo kabla ya kuunlock modem yako
- Hatua moja ni muhimu sana, ukiruka hatua moja basi hatua nyingine haitafanya kazi

Namna ya kuunlock Huawei E173u-3 itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kisha chomeka modem yako kwenye computer
2. Install dashboard ya modem yako ili kuinstall drivers za modem yako
3. Baada ya kuinstall, itafunguka dashboard ya modem yako. Ifunge
4. Soma maelezo yaliyopo kwenye PDF kwenye File

Hongera! Mpaka hapa utakuwa umefanikiwa kuunlock E173u-3 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka.

 
Tags: Jinsi ya kuunlock E173u-3, Jinsi ya kuunlock Huawei E173u-3, namna ya kufungua E173u-3 itumie mitandao yote, namna ya kufungua Huawei E173u-3, how to unlock E173u-3, how to unlock Huawei E173u-3, Download E173u-3 unlocked firmware, E173u-3 firmware, Download E173u-3 Firmware, Download firmware for E173u-3, Download Huawei E173u-3 Firmware

No comments