Jinsi ya kuunlock ZTE MF190B itumie mitandao yote

Hii ni modem inayotumia mtandao mmoja ambapo ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code. Kwa kutumia njia hii, utaweza kuunlock ZTE MF190B na utaweza kutumia SIM Card wa mtandao wowote

Muhimu
- Hakikisha hakuna kifaa kingine kimechomekwa kwenye computer isipokuwa modem yako tu.
- Hakikisha computer yako ina charge 50% na kuendelea
- Usitumie Unlocked firmware tofauti na hizi uta-brick modem yako. Itakufa jumla
- Usizime computer yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Usichomoe modem yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Soma kwanza maelezo kabla ya kuunlock modem yako
- Hatua moja ni muhimu sana, ukiruka hatua moja basi hatua nyingine haitafanya kazi

Mahitaji
- ZTE MF190B Unlocked Firmware
- ZTE MF190B Driver
- USB Cable
- PC

Namna ya kuunlock MF190B itumie mitandao yote
1. Chomeka router yako kwenye computer kwa USB Cable ikiwa haina SIM Card yoyote
2. Install ZTE MF190B Driver kwenye computer yako
3. Soma maelezo ya PDF kwenye File

Hongera! Umefanikiwa kuunlock ZTE MF190B na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaotaka

 
Tags: Jinsi ya kuunlock ZTE MF190B, jinsi ya kuunlock MF190B, jinsi ya kufungua ZTE MF190B, jinsi ya kufungua MF190B, download firmware for MF190B, download firmware for ZTE MF190B, download ZTE MF190B Firmware, download MF190B, how to unlock ZTE MF190B, how to unlock MF190B, how to unlock MF190B

No comments