Jinsi ya kuunlock E173 Safaricom Kenya itumie mitandao yote


Hii ni modem ya Huawei E173 Safaricom Kenya ambayo inatumia SIM Card wa Safaricom Kenya tu kwahiyo ukiweka SIM card ya mtandao mwingine inakuandikia Invalid SIM Card

Kwa kutumia njia hii utaweza kuunlock modem yako ya E173 Safaricom Kenya na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka

Muhimu
- Hakikisha hakuna kifaa kingine kimechomekwa kwenye computer isipokuwa modem yako.
- Hakikisha computer yako ina charge 50% na kuendelea
- Usitumie Unlocked firmware tofauti na hii uta-brick modem yako. Itakufa jumla
- Usizime computer yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Usichomoe modem yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Soma kwanza maelezo kabla ya kuunlock modem yako
- Hatua moja ni muhimu sana, ukiruka hatua moja basi hatua nyingine haitafanya kazi

Namna ya kuunlock Huawei E173 Safaricom Kenya
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kisha chomeka modem yako kwenye computer
2. Install dashboard ya modem yako ili kuinstall drivers za modem yako
3. Baada ya kuinstall, itafunguka dashboard ya modem yako. Ifunge
4. Soma maelezo yaliyopo kwenye PDF kwenye File

Hongera! Mpaka hapa utakuwa umefanikiwa kuunlock E173 Safaricom Kenya na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka.

 
Tags: Jinsi ya kuunlock E173 Safaricom Kenya, Jinsi ya kuunlock Huawei E173 Safaricom Kenya, namna ya kufungua E173 Safaricom Kenya itumie mitandao yote, namna ya kufungua Huawei E173 Safaricom Kenya, how to unlock E173 Safaricom Kenya, how to unlock Huawei E173 Safaricom Kenya, Download E173 Safaricom Kenya, E173 Safaricom Kenya firmware, Download E173 Safaricom Firmware, Download firmware for E173 Safaricom Kenya, Download Huawei E173 Firmware

 

No comments