Jinsi ya kuunlock E303s-2 Non Hilink Vodacom Tanzania
Hii ni modem ya Huawei E303s-2 Vodacom Tanzania ambayo inatumia SIM Card wa Vodacom Tanzania tu kwahiyo ukiweka SIM card ya mtandao mwingine inakuandikia Invalid SIM Card. Hii ni modem ya E303s-2 Non Hilink Vodacom ambayo inafungukia kwenye dashboard tu
Muhimu
- Hakikisha hakuna kifaa kingine kimechomekwa kwenye computer isipokuwa modem yako.
- Hakikisha computer yako ina charge 50% na kuendelea
- Usitumie Unlocked firmware tofauti na hii uta-brick modem yako. Itakufa jumla
- Usizime computer yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Usichomoe modem yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Soma kwanza maelezo kabla ya kuunlock modem yako
- Hatua moja ni muhimu sana, ukiruka hatua moja basi hatua nyingine haitafanya kazi
Nanma ya kuunlock Huawei E303s-2 Non Hilink Vodacom Tanzania
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kisha chomeka modem yako kwenye computer. Ikifunguka dashboard, ifunge
2. Run SBC Code Calculator, Bonyeza Huawei Tab kisha weka IMEI za modem yako ambazo ni tarakimu 15, bonyeza Calculate kupata Flash Code. Nukuu Flash Code
3. Run E303s-2 Unlocked Firmware, bonyeza Start, Itaanza ku-find Port kisha itaomba Password. Weka za Flash Code kisha bonyeza OK, iache mpaka imalize yenyewe. Ikimaliza bonyeza Finish
Hongera! Mpaka hapa utakuwa umefanikiwa kuunlock E303s-2 Non Hilink Vodacom Tanzania na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka.
Kwa kutumia njia hii utaweza kuunlock modem yako ya E303s-2 Non Hilink Vodacom Tanzania na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka

Post a Comment