Jinsi ya kuunlock Alcatel EE120 itumie mitandao yote
Hii ni router ambayo inayotumia SIM Card ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka laini ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code.
Kwa kushirikiana na timu ya Fahusvera, utaweza kuunlock router yako ya Alcatel EE120 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka.
Waiting Time: 1min - 5minutes
Namna ya kuunlock EE120 itumie mitandao yote
1. Chomeka modem yako kwenye computer ikiwa na SIM Card ya mtandao mwingine
2. Itafunguka browser yenye address kama hii 192.168.1.1
3. Jaza User Name na Password kisha bonyeza "OK"
4. Itakuomba NCK Code
5. Weka NCK Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
6. Bonyeza "Apply"
Hongera! Umefanikiwa kuunlock Alcatel Onetouch EE120 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaotaka
Post a Comment