Jinsi ya kuunlock Alcatel EE60VB itumie mitandao yote
Hii ni router ambayo inayotumia SIM Card ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code.
Kwa kushirikiana na timu ya Fahusvera, utaweza kuunlock router yako ya Alcatel EE60VB na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka.
Waiting Time: 1min - 5minutes
Namna ya kuunlock Alcatel EE60VB itumie mitandao yote
1. Chomeka modem yako kwenye computer ikiwa na SIM Card ya mtandao mwingine
2. Itafunguka browser yenye address kama hii 192.168.1.1
3. Jaza User Name na Password kisha bonyeza "OK"
4. Itakuomba NCK Code
5. Weka NCK Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
6. Bonyeza "Apply"
Hongera! Umefanikiwa kuunlock Alcatel Onetouch EE60VB na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaotaka

Tags: Jinsi ya kuunlock EE60VB itumie mtandao wowote, namna ya kuunlock Alcatel EE60VB itumie mitandao yote, jinsi ya kuunlock Alcatel onetouch EE60VB, jinsi ya kuunlock Alcatel EE60VB itumie mtandao wowote, namna ya kufungua Alcatel EE60VB itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua Alcatel EE60VB itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua modem ya EE60VB itumie mitandao yote, namna ya kuunlock modem ya EE60VB, namna ya kuunlock Alcatel onetouch EE60VB, how to unlock Alcatel EE60VB, how to unlock EE60VB, how to unlock Alcatel onetouch EE60VB, how to unlock Alcatel EE60VB, how to unlock Alcatel onetouch EE60VB
Post a Comment