Jinsi ya kuinstall Windows XP, Server, Vista, 7, 8, 8.1, 10 & 11 kwenye computer (Kitabu)

Baadhi ya watu huangaika linapokuja katika suala la kupiga Windows kwenye computer zao na pengine yupo kijijini ambako hakuna fundi au mtu atakayeweza kumuwekea Windows katika computer yake. Nimekuandalia kitabu ambacho utaweza kuweka Windows yoyote iwe XP, Vista, Server, 7, 8, 8.1, 10 na 11 kwenye computer yako. Nimekuwekea maelezo ya kutosha, Tutorials na Software ambazo zitakusaidia

- Kutengeneza Windows Bootable DVD au Flash drive. Hapa kuna njia 2 za kutengeneza Windows bootable Flash drive
- Utaweza kupiga Windows kwenye computer yako iwe XP, Vista, Server, 7, 8, 8.1, 10 & 11. Kuna maelezo pamoja na video yenye sauti zenye maelekezo ya jinsi ya kuweka Windows yoyote
- Utaweza kuinstall drivers kwenye computer yako. Baada ya kupiga Windows kuna baadhi ya drivers hukosekana kwahiyo nimekuwekea maelekezo ya namna ya kuinstall drivers kwenye computer yako. Hapa utakuta mwanga ni mkali, maandishi ni makubwa, hakuna WIFI, Hakuna blootoothn.k
- Utaweza kuinstall Net framework 3.5 kwenye computer yako pamoja na Direct X. Kuna baadhi ya program huwezi kuzitumia kama hauna Net framework 3.5 kwenye computer yako. Kwa kutumia maelezo pamoja na video utaweza kuinstall Net framework 3.5
- Utaweza kugawa partition kwenye computer yako. Hapa kuna njia 2, zote hizo zina maelezo ya kutosha
- Utaweza kufuta partition ya kawaida, free space na unallocated partition kwenye computer yako
- Utaweza kuongeza ukubwa wa partition bila kupoteza files zako kana vile picha, video, audio n.k kwenye computer yako
- Utaweza kupunguza ukubwa wa partition kwenye computer yako
- Utaweza kuondoa matangazo unapoperuzi mtandaoni. Nimekuwekea software ambayo itakusaidia kuondoa matangazo ambayo ni kero kwenye internet. Huondoa matangazo yote
- Utaweza kuactivate Windows iwe XP, Vista, Server, 7, 8, 8.1, 10, & 11. Nimekuwekea software kabisa
- Utaweza kuondoa Bios Password na kutatua matatizo mengine yanayohusiana na computer yako.
- Je, umefuta Files zako kama Picha, Video, Audio, na doc zingine. Nimekuandalia maelezo ya namna ya kurudisha data zilizofutwa kwenye computer, Hard disk, Flash drive na Memory Card
- Nimekuwekea website ambazo zitakusaidia kupakua Windows na software zingine mtandaoni.

Muhimu

Kitabu hiki kimeandikwa na timu ya Fahusvera, hairuhusiwi mtu yoyote kuchapicha tena (Editing), kuweka kwenye website au blog zingine bila idhini ya mwandishi. Hatua kali za kisheria zitachukuliwa. Wasiliana na timu ya Fahusvera +255767434014 kwa maelezo zaidi. Haki zote zimehifadhiwa

Tags: Jinsi ya kupiga window kwenye computer, namna ya kupiga windows kwenye computer, jinsi ya kupiga window kwenye Laptop, namna ya kupiga windows kwenye Laptop, jinsi ya kupiga window kwenye desktop, namna ya kupiga windows kwenye desktop, namna ya kuinstall window kwenye computer, jinsi ya kuinstall windows kwenye computer, namna ya kuinstall window kwenye Laptop, jinsi ya kuinstall windows kwenye Laptop, namna ya kuinstall window kwenye desktop, jinsi ya kuinstall windows kwenye desktop, jinsi ya kupiga windows aina zote, namna ya kupiga window aina zote, jinsi ya kuinstall window 7, namna ya kuinstall windows 7, namna ya kuinstall windows 8, jinsi ya kupiga windows 8, namna ya kuinstall windows 10, jinsi ya kupiga windows 11, namna ya kuinstall windows 11, jinsi ya kupiga window 7, namna ya kuinstall window, jinsi ya kuinstall windows, namna ya kupiga window, jinsi ya kupiga windows, namna ya kuinstall window aina zote, jinsi ya kuinstall windows aina zote, jinsi ya kuinstall windows vista, namna ya kupiga window vista, Windows 7, windows XP, Windows 7, windows 8, windows 10, windows 11, windows 8.1

No comments