Jinsi ya kuunlock Alcatel TCL Y858v Mifi Safaricom Kenya
Hii ni Alcatel mifi router ambayo imefungwa na kampuni ya mawasiliano ya Safaricom Kenya inayokutaka utumie laini ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code.
Kwa kushirikikiana na timu ya Fahusvera, utaweza kuunlock router yako ya Alcatel TCL Y858v Safaricom Kenya by IMEI number na utaweza kutumia laini ya mtandao wowote ule unaoutaka.
Waiting Time: 1min - 5minutes
Namna ya kuunlock Alcatel Y858v Safaricom Kenya itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine tofauti na Safaricom
2. Unganisha router yako na Computer kwa Wifi
3. Jaza User name na Password kisha bonyeza OK
3. Itakuomba NCK Code
4. Weka NCK Code ulizotumiwa
5. Bonyeza OK
Mpaka hapa utakuwa umefanikiwa kuunlock router yako ya Alcatel Y858v Safaricom Kenya na utaweza kutumia laini ya mtandao wowote.
Post a Comment