Jinsi ya kuunlock E5573s-155 Safaricom Kenya itumie mitandao yote

Hii ni router E5573s-155 ambayo imefungwa na kampuni ya mawasiliano ya Safaricom Kenya ili uweze kutumia SIM Card ya mtandao mmoja tu na ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine itakuomba SIMLOCK Code.

Kwa kutumia njia hii, utaweza kuunlock Huawei E5573s-155 Safaricom Kenya na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote.

Waiting Time: 1min - 5minutes

Namna ya kuunlock Huawei E5573s-155 Safaricom Kenya itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kisha washa router yako
2. Itafungua browser yenye address 192.168.1.1/simlock.asp kama itashindwa kufungua.
Andika address hii http://192.168.1.1/html/simlockrequired.htm kisha bonyeza Enter
3. Jaza User Name na Password kisha bonyeza kitufe cha Log In

4. Weka NCK code ulizotumiwa kisha bonyeza Apply


Hongera! Umefanikiwa kuunlock router yako ya Huawei E5573s-155 Safaricom Kenya na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote.

No comments