Jinsi ya kuunlock E5573 MIFI Smart Tanzania itumie mtandao wowote
Hii ni router ya kampuni ya Smart Tanzania ambayo inakutaka kutumia SIM Card ya mtandao mmoja tu na ukiweka laini ya mtandao mwingine inakuomba SIMLOCK Code
Kwa kutumia njia hii utaweza kufungua router yako ya E5573 MIFI Smart Tanzania na utaweza kutumia laini ya mtandao wowote ule unaoutaka
Muhimu
- Hakikisha hakuna kifaa kingine kimechomekwa kwenye computer isipokuwa router.
- Hakikisha computer yako ina charge 50% na kuendelea
- Usitumie Unlocked firmware tofauti na hizi uta-brick router yako. Itakufa jumla
- Usizime computer yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Usichomoe router yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Soma kwanza maelezo kabla ya kuunlock router yako
- Hatua moja ni muhimu sana, ukiruka hatua moja basi hatua nyingine haitafanya kazi
Namna ya kuunlock Huawei E5573 MIFI Smart Tanzania itumie mitandao yote
1. Fungua router yako kwa screw driver. Piga short motherboard kwa kuunganisha point A & B kisha unganisha router na computer kwa USB Cable huku umeunganisha point A & B. Utaona router yako imekuwa detect kwenye computer.
Install FC Serial Driver driver na Huawei DataCard Driver kwenye computer yako
2. Run Balong USB Downloader. Bonyeza Detect, utaona port ya router yako imeonekana. Bonyeza vidoti vitatu kwenye Load3. Chagua usbloaderE5573s.bin kisha bonyeza open.
4. Bonyeza Load kisha iache mpaka imalize. Ikimaliza funga Balong USB Downloader tool
5. Run Universal master code calculator. Bonyeza kwenye Huawei tab, weka IMEI number kisha bonyeza Calculate kupata flash code. Nukuu flash code
6. Run Huawei E5573 Smart Downgrade Firmware kisha bonyeza start. Itaomba password, weka za flash code ulizozipata hatua namba 4 kisha bonyeza Ok. Iache mpaka imalizike kisha bonyeza Finish7. Run DC Unlocker 2 Client as administrator. Bonyeza kwenye magnifying glass. Utaletewa taarifa za modem yako. Mwisho mwa hizo taarifa, weka hizi code AT^NVRDEX=50503,0,128 kisha bonyeza ENTER kwenye keyboard ya computer yako.
Ikigoma, fanya hivi
- Funga Huawei mobile partner dashboard
- Funga Tab ya Huawei dashboard kwenye browser yako
- Chomoa modem yako kwenye computer kisha chomeka tena. Endelea na hatua namba 5
8. Utaletewa NV Harsh code. Kama hivi
Nitumie NV Harsh Code kwa SMS, WhatsApp & Telegram +255767434014 kupata NCK Code
9. Run Huawei E5573 Smart Upgrade firmware. Bonyeza Start kisha Next iache mpaka imalize. Bonyeza Finish
10. Chomoa router yako kwenye computer. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kisha unganisha na Wi-FI
11. Itafungua browser yenye address hii "192.168.8.1"
12. Weka User name na "Password" kisha bonyeza "Log In" ambazo ni admin kwa zote
13. Weka NCK code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera kisha bonyeza "Apply"
Hongera!umefanikiwa kuunlock Huawei E5573 Mifi Smart Tanzania na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote
Post a Comment