Jinsi ya kuunlock E5573s-320 MTN Uganda itumie mitandao yote

Hii ni router ambayo imefungwa na kampuni ya MTN Uganda ili iweze kutumia SIM Card ya mtandao mmoja kwahiyo ukiweka laini ya mtandao mwingine itakuomba SIMLOCK Code.

Kwa kutumia njia hii, utaweza kuunlock router yako ya Huawei E5573s-320 MTN Uganda na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule.

Muhimu
- Hakikisha hakuna kifaa kingine kimechomekwa kwenye computer isipokuwa router.
- Hakikisha computer yako ina charge 50% na kuendelea
- Usitumie Unlocked firmware tofauti na hizi uta-brick router yako. Itakufa jumla
- Usizime computer yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Usichomoe router yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Soma kwanza maelezo kabla ya kuunlock router yako
- Hatua moja ni muhimu sana, ukiruka hatua moja basi hatua nyingine haitafanya kazi

Namna ya kuunlock Huawei E5573s-320 MTN Uganda itumie mitandao yote

1. Install Huawei Driver

2. Run Huawei E5573s-320 MTN unlocked Firmware
3. Soma maelezo ya PDF kwenye File

Hongera! Umeweza kuunlock Huawei E5573s-320 MTN Uganda na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule.

Tags: Jinsi ya kuunlock E5573s-320 MTN Uganda itumie mtandao wowote, namna ya kuunlock Huawei E5573s-320 MTN Uganda itumie mitandao yote, jinsi ya kuunlock E5573s-320 itumie mitandao yote, namna ya kufungua E5573s-320 MTN Uganda itumie mtandao wowote, jinsi ya kufungua Huawei E5573s-320 MTN Uganda itumie mitandao yote, how to unlock E5573s-320 MTN Uganda, how to unlock Huawei E5573s-320 MTN Uganda, how to unlock E5573s-320, how to unlock E5573s-320 MTN, how to unlock Huawei E5573s-320 MTN, Huawei E5573s-320 MTN firmware, Huawei E5573s-320 firmware, jinsi ya kufungua router ya MTN E5573s-320 itumie mitandao yote, namna ya kuunlock router ya MTN Huawei E5573s-320 itumie mitandao yote, jinsi ya kuunlock Huawei E5573s-320 itumie mitandao yote, jinsi ya kuunlock Huawei E5573s-320 MTN

No comments