Jinsi ya kuunlock TECNO N2 Tigo Tanzania itumie mitandao yote
Hii ni simu ambayo imefungwa kwenye SIM 1 ili iweze kutumia SIM Card ya mtandao mmoja ambapo hautaweza kutumia laini ya mtandao mwingine kwenye Slot ya SIM 1.
Kwa kushirikiana na team ya Fahusvera utaweza kuunlock simu ya TECNO N2 ya Tigo na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote
Faida
- Utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote
- Utaweza kupata internet yenye kasi zaidi kwa kutumia SIM Card ya mtandao wowote
Mahitaji
- Computer
- Simu
- USB Cable
- Software
Namna ya kufungua simu ya Tecno N2 itumie mitandao yote
Pakua File hapo chini lina maelezo pamoja na software zake za kufungua simu ya TECNO N2 Tigo
Post a Comment