Jinsi ya kuunlock Huawei E3372h-153 4G LTE USB Modem

 

Hii ni modem iliyofungwa ili iweze kutumia SIM Card ya mtandao mmoja tu na ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inaomba SIMLOCK Code

Kwa kutumia njia hii utaweza kuunlock Huawei E3372h-153 4G LTE na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote

Muhimu
- Hakikisha hakuna kifaa kingine kimechomekwa kwenye computer isipokuwa modem.
- Hakikisha computer yako ina charge 50% na kuendelea
- Usitumie Unlocked firmware tofauti na hizi uta-brick modem yako. Itakufa jumla
- Usizime computer yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Usichomoe modem yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Soma kwanza maelezo kabla ya kuunlock modem yako
- Hatua moja ni muhimu sana, ukiruka hatua moja basi hatua nyingine haitafanya kazi

Namna ya kuunlock Huawei E3372h-153 4G LTE ili uweze kutumia mtandao wowote
1. Install Huawei Driver kwenye computer yako

2. Fungua Modem yako ya Huawei E3372h-153 4G LTE kwa Screw Driver. Kisha piga shot kwa kugusanisha hizi point huku umechomeka kwenye computer yako. Itadetect na drivers zitaonekana kwenye computer yako. Hakikisha umeweka SIM Card ya mtandao mwingine au haujaweka

3. Run Balong USB Downloader kisha bonyeza Detect. Com Port ya Modem yako itaonekana. Bonyeza kwenye vidoti vitatu kwenye Load kisha chagua usbloader.bin. Bonyeza Load, ikimalizika, funga Balong USB Downloader Tool

4. Run Huawei E3372h-153 4G LTE Downgrade Firmware kisha bonyeza start. Iache mpaka imalizike kisha bonyeza Finish

5. Huawei E3372h-153 4G LTE WEBUI Update Firmware kisha Start >>> Next. Ikimaliza, bonyeza Finish

Hongera! Mpaka hapo utakuwa umefanikiwa kuunlock Huawei E33H-153 4G LTE na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote

 

Tags: Jinsi ya kuunlock E3372h-153 4G LTE Orange itumie mtandao wowote, jinsi ya kuunlock Huawei E3372h-153 4G LTE  Orange itumie yote, namna ya kuunlock E3372h-153 4G LTE Airtel itumie mitandao yote, Jinsi ya kuunlock Huawei E3372h-153 4G LTE Airtel itumie mitandao yote, Jinsi ya kuunlock E3372h-153 4G LTE Camtel itumie mitandao yote, namna ya kuunlock E3372h-153 4G LTE Camtel itumie mtandao wowote, how to unlock E3372h-153 4G LTE Orange, how to unlock Huawei E3372h-153 4G LTE Orange, how to unlock E3372h-153 4G LTE Airtel, how to unlock Huawei E3372h-153 4G LTE Airtel, how to unlock E3372h-153 4G LTE Camtel, how to unlock Huawei E3372h-153 4G LTE Camtel, E3372h-153 4G LTE  firmware, how to unlock E3372h-153 4G LTE , how to unlock Huawei E3372h-153 4G LTE

No comments