Jinsi ya kuunlock E303 Tigo Tanzania (21.318.25.00.787) itumie mitandao yote

Hii ni modem ambayo imefungwa ili itumie mtandao mmoja tu wa Tigo kwahiyo ukiweka laini tofauti na hiyo, haiwezi kufanya kazi. Kulingana na vifurushi kubadilika unahitaji universal modem ambayo utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaotaka.

SPECIFICATION OF E303
> DEVICE NAME: E303

> HARDWARE VERSION: CH1E3531SM

> FIRMWARE VERSION: 21.318.25.00.787

> SOFTWARE VERSION: 23.015.02.01.787

Muhimu

- Hakikisha hakuna kifaa kingine kimechomekwa kwenye computer isipokuwa modem.
- Hakikisha computer yako ina charge 50% na kuendelea
- Usitumie Unlocked firmware tofauti na hizi uta-brick modem yako. Itakufa jumla
- Usizime computer yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Usichomoe modem yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Soma kwanza maelezo kabla ya kuunlock modem yako
- Hatua moja ni muhimu sana, ukiruka hatua moja basi hatua nyingine haitafanya kazi

Namna ya kuunlock Huawei E303 Tigo itumie mitandao mingine 

1.Chomeka modem yako ya E303 ikiwa na laini ya mtandao mwingine kwenye computer kisha install drivers. Ikifungua dashboard, ifunge
2. Fungua Huawei Code Calculater kisha weka IMEI za modem yako kisha bonyeza Calculate. Kupata IMEI za Modem yako, fungua mfuniko wa modem yako. Copy Flash Code

3. Run E303 Unlocked Firmware. Bonyeza Start

4. Itaanza ku-find Port
5. Itaomba Password. Weka za Flash Code kisha bonyeza OK. Iache mpaka imalize yenyewe. Ikimaliza bonyeza Finish

Hongera! Mpaka hapo utakuwa umeweza kuunlock modem yako ya E303 FIRMWARE VERSION: 21.318.25.00.787 na utaweza kutumia mitandao yote.
Ukitaka kupiga simu na kuweka salio kwa kutumia USSD Code. Tumia Huawei Mobile Partner

Tags: Jinsi ya kuunlock E303 Tigo Tanzania itumie mtandao wowote, namna ya kufungua E303 Tigo Tanzania itumie mitandao yote, jinsi ya kuunlock Huawei 303 Tigo Tanzania itumie mitandao yote, namna ya kufungua Huawei E303 itumie mitandao yote, how to unlock E303 Tigo Tanzania, how to unlock Huawei E303 Tigo Tanzania, Huawei E303 Firmware, How to unlock Huawei E303 (21.318.25.00.787) Tigo Tanzania, jinsi ya kuunlock Huawei E303 (21.318.25.00.787) Tigo Tanzania itumie mitandao yote, namna ya kufungua E303 (21.318.25.00.787) itumie mtandao wowote, Jinsi ya kuunlock E303 (21.318.25.00.787) itumie mitandao yote, jinsi ya kuunlock Huawei E303, jisni ya kuunlock modem ya Tigo E303 itumie mitandao yote, namna ya kufungua modem ya Tigo Huawei E303 (21.318.25.00.787)

3 comments:

  1. Nilifanya hatua zote ulizoandika lakini sasa modem yangu haigunduliwi tena na kompyuta yangu.
    nifanyeje?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hukutumia njia hii kuunlock modem yako. Waliotumia njia hii wamefanikiwa 100% na ungetumia njia hii ungefanikiwa 100%. Tigo wana modem mbili za E303 ambazo ni E303s-1 na E303h-1. Na solution zote zipo humu. Ungewasiliana na mimi wala usingebreak modem yako.
      Wasiliana nasi +255767434014

      Delete
  2. 1. Hapo Pakua Huawei Mobile Partner.
    2. Chomeka modem kwenye computer
    3. Install Huawei Mobile Partner, ikifunguka dashboard, ifunge.
    4. Run Firmware ya Huawei E303. Fuata maelekezo
    Shida ya watu, wanapakua firmware kutoka kwenye website zingine kisha wanatumia njia za Fahusvera kuunlock modem, hapo lazima uharibu modem yako. Ukiwasiliana na mm cha kwanza lazima nijiidhihirishe, una hiyo modem yenye model ya E303 maana hata Vodacom wanazo pia.

    ReplyDelete