Jinsi ya kuunlock Alcatel X225S itumie mitandao yote

Hii ni modem ambayo imefungwa na inayokutaka utumie SIM Card ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka laini ya mtandao mwingine inakuomba SIMLOCK Code.

Kwa kutumia njia hii utaweza kufungua modem yako ya Alcatel Onetouch X225s na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule.

Waiting Time: 1min - 5minutes

Namna ya kuunlock Alcatel Onetouch X225S itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine
2. Chomeka modem yako kwenye computer
3. Itaomba NCK Code
4. Weka NCK Code ulizotumiwa
5. Bonyeza OK 

Mpaka hapo utakuwa umeweza kuunlock modem yako ya Alcatel Onetouch X225s na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote.

Tags: Jinsi ya kuunlock Alcatel x225s itumie mtandao wowote, jinsi ya kuunlock Alcatel onetouch x225s itumie mitandao yote, namna ya kufungua Alcatel x225s itumie mtandao wowote, namna ya kufungua Alcatel onetouch x225s itumie mitandao yote, how to unlock Alcatel x225s, how to unlock x225s, how to unlock Alcatel onetouch x225s, namna ya kufungua modem ya Alcatel x225s, jinsi ya kuunlock modem ya Alcatel x225s, jinsi ya kufungua modem ya Alcatel onetouch x225s, namna ya kufungua modem ya Alcatel onetouch x225s, jinsi ya kuunlock x225s

No comments