Namna ya kuunlock Vodafone V685, V785 & V875 Vodacom Tanzania
Hizi ni simu za smartphone ambazo hutolewa na kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania ambapo zinakutaka utumie SIM Card ya mtandao mmoja tu kwenye SIM Card 1
Baada ya kuunlock utaweza
- Kutumia laini ya mtandao wowote kwenye SIM 1
- Utaweza kupata internet yenye kasi zaidi
- Utaweza kuroot simu yako
Waiting Time: 1min - 5minutes
Jinsi ya kuunlock Vodafone V685, V695, V785 & V875 itumie mitandao yote. Baada ya kupata NCK code (Unlock Code)
1. Weka laini tofauti na ya mtandao husika
2. Bonyeza *#*#3646633#*#*
3. Chagua SIMLOCK menu. Weka NCK Code ulizotumiwa
Mpaka hapo utakuwa umeweza kuunlock simu yako ya Vodafone Vodacom na utaweza kutumia laini ya mtandao wowote ule
Post a Comment