Jinsi ya kuunlock Alcatel X230S itumie mitandao yote
Hii ni modem ambayo imefungwa na inayokutaka utumie SIM Card ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka laini ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code.
Kwa kutumia njia hii utaweza kufungua modem yako ya Alcatel Onetouch X230S na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule.
Waiting Time: 1min - 5minutes
Namna ya kuunlock Alcatel Onetouch X230S itumie mitandao yote
1. Weka laini ya mtandao mwingine
2. Chomeka modem yako kwenye computer
3. Itaomba NCK Code
4. Weka NCK Code ulizotumiwa
5. Bonyeza OK
Hongera! Umefanikiwa kuunlock modem yako ya Alcatel Onetouch X230S na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote.
Post a Comment