Jinsi ya kuunlock Blackberry 8520 itumie mitandao yote
Hii ni simu ambayo imefungwa ili uweze kutumia SIM Card ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code.
Kwa kutumia njia hii, utaweza kuunlock simu ya Blackberry Curve 8520 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule.
Waiting Time: 1min - 5minutes
Baada ya kutumiwa NCK Code, Fanya yafuatayo;
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kisha bonyeza kitufe cha Power ON
2. Ingia Settings >>>>>>> Security & Privacy >>>>>> SIM Card
3. Bonyeza "Unlock Network"
4. Weka "NCK Code" (ulizotumiwa)
5. Bonyeza "OK"
Hongera! Umefanikiwa kuunlock simu yako ya Blackberry Curve 8520 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka.




Post a Comment