Jinsi ya kuunlock E5331s-2 Safaricom Kenya itumie mitandao yote
Hii ni Huawei wifi router E5331s-2 ambayo imefungwa na kampuni ya mawasiliano ya Safaricom Kenya ili uweze kutumia SIM Card ya mtandao mmoja tu kwahiyoukiweka laini ya mtandao mwingine itakuomba SIMLOCK Code.
Kwa kutumia njia hii utaweza kufungua Huawei E5331s-2 Safaricom Kenya na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote.
Waiting Time: 1min - 5minutes
Namna ya kuunlock Huawei E5331s-2 Safaricom Kenya
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kisha washa router yako
2. Itafungua browser yenye address 192.168.1.1/simlock.asp kama itashindwa kufungua
kwenye browser yako andika address hii http://192.168.1.1/html/simlockrequired.htm
3. Jaza User Name na Password kisha bonyeza kitufe cha Log In
4. Weka NCK code ulizotumiwa kisha Bonyeza "Apply".
Hongera! Umefanikiwa kuunlock router yako ya Huawei Wi-Fi router E5331s-2 Safaricom Kenya na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote.
Asante. Nimefanikiwa kuunlock router yangu. Sasa natumia mitandao yote
ReplyDeleteKaribu tena.
Delete