Jinsi ya kuunlock Alcatel Onetouch MW40V Safaricom Kenya
Hii ni router ambayo imefungwa na kampuni ya mawasiliano ya Safaricom Kenya inayokutaka utumie SIM Card ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka laini ya mtandao mwingine inakuomba SIMLOCK Code.
Kwa kushirikikiana na timu ya Fahusvera, utaweza kufungua router yako ya Alcatel Onetouch MW40V Safaricom Kenya na utaweza kutumia laini ya mtandao wowote ule unaoutaka.
Waiting Time: 1min - 5minutes
Namna ya kuunlock Alcatel Onetouch MW40V Safaricom Kenya itumie mitandao yote
1. Weka laini ya mtandao mwingine
2. Unganisha router yako na Computer kwa Wifi
3. Itafungua browser yenye address 192.168.0.1
4. Jaza User Name na Password kisha bonyeza OK
5. Itakuomba NCK Code
5. Weka NCK Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
6. Bonyeza "OK"
Hongera! Umefanikiwa kuunlock router yako ya Alcatel Onetouch MW40V Safaricom Kenya na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote.
Post a Comment