Jinsi ya kuunlock Alcatel OT-V555 itumie mitandao yote
Hii ni simu ambayo imefungwa ili uweze kutumia SIM Card ya mtandao mmoja tu, ukiweka laini ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code
Kwa kutumia njia hii, utaweza kuunlock Alcatel OT-V555 na utaweza kutumia laini ya mtandao wowote ule unaoutaka.
Waiting Time: 1min - 5minutes
Namna ya kuunlock Alcatel OT-V555 itumie mitandao yote
1. Washa simu yako ya Alcatel OT-V555 bila SIM Card yoyote
2. Weka Code hizi *#0000*CODE# au *#0001*CODE#
CODE, weka NCK Code yaani 2430631769 kwahiyo inakuwa hivi *#0000*2430631769#
3. Bonyeza OK
Hongera! Umefanikiwa kuunlock simu yako ya Alcatel Vodafone OT-V555 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote




Post a Comment