Jinsi ya kuunlock M028AT Smile Tanzania itumie mitandao yote

Hii ni router ya kampuni ya Smile Tanzania inayokutaka utumie SIM Card ya mtandao mmoja tu wa Smile na ukiweka laini ya mtandao mwingine inakuomba PH-NET PIN

Kwa kushirikiana na team ya Fahusvera, utaweza kufungua router yako ya Smile Tanzania M028AT na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule

Mahitaji
- M028AT LTE MIFI Drivers
- M028AT Unlocked firmware
- M028AT Flash tool
- USB Cable

Namna ya kuunlock LTE MIFI M028AT Smile Tanzania itumie mitandao yote
1. Install M028AT LTE Drivers kwenye computer yako
2. Weka SIM Card ya mtandao mwingine au usiweke laini yoyote kwenye router yako
3. Washa router yako kisha chomeka kwenye computer kwa USB Cable
4. Run M028AT Unlocked firmware, bonyeza start. Iache mpaka imalize kisha bonyeza Finish
Chomoa router kwenye computer, weka laini ya mtandao wowote kisha iwashe.
Hongera! Mpaka hapa umefanikiwa kuunlock router yako ya LTE MIFI M028AT Smile Tanzania na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote 

Tags: Jinsi ya kuunlock M028AT Smile Tanzania itumie mitandao yote, namna ya kufungua M028AT Smile Tanzania itumie mtandao wowote, namna ya kufungua router ya Smile M028AT Smile itumie mitandao yote, jinsi ya kuunlock router ya Smile M028AT itumie mtandao wowote, how to unlock M028AT Smile Tanzania, how to unlock Smile Tanzania M028AT, how to unlock M028AT 4G LTE Mifi Smile Tanzania, how to unlock 4G LTE Mifi M028AT Smile Tanzania, how to unlock Mifi M028AT Smile Tanzania, how to unlock  4G LTE M028AT Smile Tanzania, download M028AT Smile Tanzania firmware

No comments