Jinsi ya kuunlock Alcatel X230E Airtel Tanzania itumie mitandao yote
Hii ni modem ambayo imefungwa na kampuni ya mawasiliano ya Airtel Tanzania inayokutaka utumie SIM Card ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka laini ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code.
Kwa kushirikikiana na timu ya Fahusvera, utaweza kufungua modem yako ya Alcatel Onetouch X230E Airtel Tanzania na utaweza kutumia laini ya mtandao wowote ule.
Waiting Time: 1min - 5minutes
Namna ya kuunlock Alcatel Onetouch X230E Airtel Tanzania itumie mitandao yote
1. Weka laini ya mtandao mwingine
2. Chomeka modem yako kwenye computer
3. Itakuomba NCK Code
4. Weka NCK Code ulizotumiwa na na timu ya Fahusvera
5. Bonyeza "OK"
Hongera! Umefanikiwa kuunlock modem yako ya Alcatel Onetouch X230e Airtel Tanzania na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote.
Read more >>>> Namna ya kuunlock Huawei E3372h-607 itumie mtandao wowote




Post a Comment