Samsung A04s SM-A047F Finance Plus MDM File | Unlocked Firmware

Kwa kutumia file hili utaweza kuondoa Finance Plus kwenye simu ya Samsung A04s yenye Model SM-A047F na utaweza kutumia simu yako yako bure

Kwa kushirikiana na timu ya Fahusvera, tumekuletea MDM unlocked firmware kwaajili ya simu ya Samsung A04s na baada ya kuflash simu yako kwa kutumia unlocked firmware hii, utaweza kuitumia simu yako bure

Inafanya kazi kwenye simu ya Samsung yenye sifa hizi
Product Name: Samsung A04s
Model: SM-A047F/DS
Storage: 64GB
Android Version: 13
Binary: 5
One UI Core: 5.1
RAM: 4GB

Download Samsung A04s MDM Unlocked Firmware na uweze kutumia simu yako bure. Kwenye hili file kuna video ambayo ina maelezo yote namna ya kuunlock simu yako, tools na MDM Unlocked firmware. Enjoy!

No comments