Jinsi ya kuunlock Alcatel MW40V Vodacom Tanzania

Hii ni router ambayo imefungwa na kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania inayokutaka utumie SIM Card ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka laini ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code.

Kwa kushirikiana na timu ya Fahusvera, utaweza kuunlock router yako ya Alcatel Onetouch MW40V Vodacom Tanzania na utaweza kutumia laini ya mtandao wowote ule unaoutaka.

Waiting Time: 1min - 5minutes

Namna ya kuunlock Alcatel Onetouch MW40V Vodacom Tanzania itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine
2. Unganisha router yako na Computer kwa Wifi
3. Itafungua browser yenye address 192.168.0.1
4. Jaza User Name na Password kisha bonyeza OK
5. Itakuomba NCK Code
6. Weka NCK Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
7. Bonyeza OK 

Hongera! Umefanikiwa kuunlock router yako ya Alcatel Onetouch MW40V Vodacom Tanzania na utaweza kutumia laini ya mtandao wowote.

Tags:  Jinsi ya kuunlock Alcatel MW40V Vodacom Tanzania itumie mtandao wowote, namna ya kuunlock Alcatel onetouch MW40V, jinsi ya kufungua Alcatel MW40V itumie mitandao yote, namna ya kufungua Alcatel Onetouch MW40V Vodacom Tanzania itumie mtandao wowote, jinsi ya kuunlock MW40V itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua MW40V itumie mitandao yote, how to unlock MW401 Vodacom Tanzania, how to unlock MW40V, how to unlock Alcatel MW40V Vodacom Tanzania, how to unlock Alcatel Onetouch MW40V Vodacom Tanzania.

No comments